Goli pekee la Taddeo Lwanga limeipa Simba ubingwa wa pili mfululizo kwenye wa michuano ya Azam Sports Federation Cup kwa kuwachapa watani wao wa jadi, Yanga bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliochezwa Julai 25, 2021 kwenye Uwanja wa lake Tanganyika, Kigoma.
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
azamtvazamtvmaxazamsports
0 Comments